
Mbunge wa Kawe MH. Josephat Gwajima

Aliyekuwa mlinda mlango wa Mwaadui FC iliyoshuka daraja, Mussa Mbisa akishika jezi ya timu yake mpya ya Coastal Unioni ya Tanga baada ya kusaini nao mkataba wa miaka miwili.

Timu ya taifa ya wavu ya Tanzania ilipokuwa inacheza dhidi ya Kenya.

Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa (kushoto) na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima (kulia)

Mbunge wa jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA

Cristiano Ronaldo akiwa na muonekano wa jezi ya Manchester United (kushoto) alipokuwa anaichezea klabu hiyo 2003-2009 na akiwa muonekano wa jezi ya ugenini ya klabu ya Juventus alipoichezea 2018 hadi Agosti 2021.

Picha ya pamoja Msanii Shilole na mumewe Rommy 3D
.jpg?itok=Mg5p1_cW×tamp=1630325038)
Jake Paul (Kulia) akimtwanga ngumi mpinzani wake Tryone Woodley.

Ruben Dias (pichani) mara baada ya kusaini Mkataba na Manchester City