Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Gwajima, uso kwa uso na Makonda, wazua shangwe

Tuesday , 22nd Jan , 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wamekutana uso kwa uso katika mkutano wa kisekta wa Wizara ya Madini.

Josephat Gwajima (kushoto) na Paul Makonda (kulia)

Katika mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es salaam , RC Makonda alimsimamisha Askofu Gwajima Mbele ya Rais John Pombe Magufuli ambae ni mgeni rasmi.

"Nimemuona rafiki yangu Gwajima hapa, simama kidogo wakuone", amesema Makonda na baada ya Askofu Gwajima kusimama, ukumbi mzima ulikaripuka kwa shangwe.

"Mimi na yeye tuna historia ndefu kidogo, wameninoa wengi kuanzia enzi za umoja wa vijana, kwa hiyo kama kuna mapambano, unaweza kunituma tu", ameongeza Makonda.

Ikumbukwe kuwa wawili hao walizua gumzo mwanzoni mwa mwaka uliopita kutokana na suala la uhalali wa elimu ya Mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es salaam, ambapo Askofu Gwajima alitumia mikutano yake mingi kuelezea jinsi alivyokuwa akimfahamu.
 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani