Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wakulima tumieni teknolojia kuhifadhi mazao-Fatma

Wednesday , 30th Dec , 2015

Wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara wameshauriwa kutumia teknolojia ya mifuko ya PICS inayotumika kuhifadhia mazao, kama njia bora ya kuyakinga ili yasiharibiwe na wadudu na kuachana na kutumia njia ya kemikali ambayo inaweza kuleta athari baadae.

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Salum Ally

Akizungumza mkoani Mtwara katika semina ya kuwajengea uwezo wadaau wa kilimo juu ya matumizi ya teknolojia hiyo, mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally, amesema wakulima wengi hapa nchini wanakumbwa na changamoto ya upotevu wa mazao baada ya mavuno, na ndio wanaoathirika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na serikali.

Aidha, amesema uwepo wa mifuko hiyo umetokana na kuwepo kwa wadudu waharibifu wanaoshambulia mazao ghalani hasa Dumuzi ambao uharibu mazao ya wakulima masikini katika nchi zinazoendelea, na kuwakwamisha wakulima wanaotegemea mazao hayo kwa chakula na biashara ili kuongeza kipato katika kaya zao.

Kwa upande wake, mshauri mwelekezi wa mradi huo ambao ulianza kufanya kazi mwaka 2014, Bernadetha Majebele, amesema mradi huo una malengo kadhaa kwa wakulima ikiwa ni pamoja na kuwafanya wakulima wadogo kujua namna ya kuhifadhi chakula chao na kukitumia baadae, na kuwatoa watanzania katika matumizi ya kemikali katika kuhifadhi mazo kwasababu ina athari kiafya.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani