Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Wanaume hamnielewi, mimi si mgumu" - Frida Aman

Monday , 29th Apr , 2019

Msanii wa muziki wa rap Bongo, mwanadada Frida Aman amesema pamoja na kujituma kwa kucheza kama mwanamke kwenye nyimbo zake lakini bado wanaume wameshindwa kumuelewa.

Frida Aman

Frida amesema kuwa wanaume wengi wanahisi si mwanamke mlaini ambaye wanaweza kumfikia na kuanzisha naye mahusiano.

Akipiga stori na eNewz ya EATV, Frida amesema familia yake wote wameokoka na yeye pia ni mwokovu japo watu wengi wanamuangalia kwa jicho lingine na kumuwekea mambo mengi katika maisha yake ya kila siku wakati kuna baadhi ya vitu ambavyo hawezi kufanya kabisha kutokana na imani ya dini yake.

"Siwezi kufanya aina ya muziki anaoufanya rapa mwenzangu Rosa Ree na naamini hata Rosa hawezi kufanya aina ya muziki ninaoufanya mimi kwa kuwa tunatofautiana katika sanaa zetu na kila mmoja wetu ana aina tofauti ya muziki anaoufanya".

Frida amemalizia kwa kuwaomba mashabiki zake kuendelea kumsapoti katika kazi zake za muziki anazozitoa ambapo kwa sasa ana nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Pullup' ambayo amemshirikisha rapa chipukizi Gifted, ambayo inafanya vizuri hivi sasa nchini.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani