Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kuwa na wapenzi wengi ni ugonjwa wa akili

Wednesday , 10th Oct , 2018

Kitendo cha kumsaliti mpenzi wako au Kutamani kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kumetajwa ni miongoni mwa matatizo yanayoweza kusababishwa na magonjwa ya akili endapo mshiriki wa vitendo hivyo atashinikizwa na matamanio ya kimwili yatakayotokana na hali ya mazingira.

Hii ni kwa mujibu  wa mtaalamu wa magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Debora Lwambano ambaye amesema kuwa hali hiyo hutokea pale mtu anapoendeshwa na hisia bila yeye mwenyewe kujijua.

Kuna vitu vingine ni tabia ila ukiona mtu anatamani kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au kushirikii mapenzi zaidi ya mtu mmoja nayo tunaweza kusema ni ugonjwa wa akili kama yatasababishwa na mahitaji ya kimwili yanayotokana na mtu kuwa mtumiaji sugu jambo fulani”, amesema Debora.

Katika matatizo ya akili ya sonona na mania, kama mtu anafanya mapenzi zaidi ya mtu mmoja, ina dalili zake na inaweza isipatikane moja moja, unakuta mtu anakuwa na hamu sana ya kufanya mapenzi zaidi ya mpenzi mmoja ila lazima tuangalie na dalili zingine.” amesema.

Mbali na kushiriki mapenzi zaidi ya mpenzi mmoja pia tabia ya watu wengi kushiriki punyeto (masturbation) pia ni matatizo yaanayosababishwa na ugonjwa wa akili.

Kwa haraka haraka tunaweza kusema punyeto pia inatokana na matatizo ya ugonjwa wa akili, yanayosababishwa na mtu  kuangalia picha na video za ngono mara kwa mara, na kumfanya mtu kuwa mlevi wa kushiriki kitendo hicho kunakoweza kumpelekea kushindwa kushiriki kwa muda mrefu kwenye tendo lenyewe”, ameongeza Debora.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani