
Msanii TID
TID mwenyewe ameeleza kuwa amevamiwa na majambazi na kupigwa.
''It's so Sad Jambazi anaeza kukufanyia chochote sababu yeye Jambazi na Yuko na Back Up za Kijambazi''. Ameandika TID huku akiambatanisha picha zake zikionesha baadhi ya majeraha.
Zaidi sikiliza na kutazama baadhi ya pole ambazo amepewa na wasanii kama Fid Q ,baada ya kupost picha zake akiwa amejeruhiwa.