Jafo aeleza Namthamini ilivyoisaidia TAMISEMI

Friday , 30th Aug , 2019

Waziri wa TAMISEMI Mh. Selemani Jafo amesema kampeni ya Namthamini ni ubunifu mkubwa ambao umefanywa na East Africa Television na East Africa Radio kwaajili ya kusaidia kutatua changamoto kwa wanafunzi wa kike nchini.

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo