
Msanii Tabu Mtingita na Alex Gitaa
Tabu Mtingita amesema baadhi ya wanawake mitandaoni wanamtaka mpenzi wake Alex kwani anaona ujumbe 'Direct message' anazotumiwa kwenye mtandao wa Instagram.
"Wanamtaka kijana wangu halafu mimi nimemtoa mbali huyu na naziona DM nyingi za kumtaka, mimi ni pisi kali siwezi kumpiga mume wangu, tunaishi vizuri tunapendana na tunaheshimiana, yupo tofauti amelelewa kwanza anaweza kukuna nazi tangu akiwa mtoto kuosha vyombo na kupika" ameeleza Tabu Mtingita
Mengine zaidi tazama hapa chini kwenye video.