Picha ya wasanii wa Bongo Fleva AY (kushoto), Mwana FA (katikati) na Kayumba
Kayumba amefunguka hilo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya ku-post picha na wakali hao wa Bongo Fleva walizopiga kwenye siku ya usikilizwaji wa albamu mpya ya Alikiba 'Only One King' na kuambatanisha ujumbe wenye matamanio ya kufanya chorus kwenye wimbo utakaowakutanisha pamoja.