Picha ya msanii wa singeli D Voice Ginnii
D Voice ametoa kauli hiyo baada ya wakongwe wa mziki wa singeli ku-diss wasanii wa sasa kwamba wanavunja misingi halisi ya mziki huo kwa mfano mwanaume kuimba kama mwanamke.
Zaidi mtazame hapa chini D Voice akielezea suala hilo.