
Dereva huyo wa Ferrari aliyeanza vibaya katika msimu wa 2025 hivi sasa amepata tumaini la kurejea katika ubora wake baada ya kutoa ushindani katika mbio za majaribio zilizofanyika Ijumaa ya Julai 4.
Hamilton amemaliza nafasi ya pili nyuma ya dereva wa Mc Laren Lando Norris Katika majaribio hayo hayo.