Chama: 
CCK
Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais): 
Masoud Ali Abdala
Matokeo ya Uchaguzi 2015: 
0
Idadi Ya kura: 
0

David Daud Mwaijojele ndiye Mwenyekiti wa CCK Taifa

Amewahi kufanya kazi katika sekta binafsi kabla ya kuingia kwenye siasa.