
Neymar akiwa tumbo wazi huku ameshikilia jezi mkononi aliyobadilishana na mchezaji wa Rb leipzig Marcel Halstenberg baada ya mchezo kati ya PSG na RB Leipzig kumalizika.

Kocha mtarajiwa wa Barcelona, Ronald Koeman akiwa katika majukumu yake ya kazi.

Mgombea urais kwa Tiketi ya Chama NLD bw Maisha Mapya Mchunguzi baada ya kuchukua fomu NEC

Mlinda mlango Joe Hart, akiwa na jezi ya Tottenham Hotpurs baada ya kukamilika kwa usajili wake .

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso.

Wachezaji wa PSG wakifurahia ushindi

Rais wa Klabu ya Barcelona , Josep Maria Bartomeu akimkabidhi jezi aliyekua mkurugenzi wa michezo wa timu hiyo Eric Abidal.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa.

Picha ya pamoja ya wasanii Shilole na Baba Levo