
Mkurugenzi Mkuu wa Ando, Bw. Ado Maimu

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Dkt Ashatu Kijaji
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi baada ya kupokea tani 45 za saruji zenye thamani ya shilinigi milioni 15 zilizotolewa na NSSF kabla ya kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi, Meneja Mkuu wa Malipo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Francis Mcharage cheti cha kuthamini michango ya wafanyakazi wa shirika hilo kwa NSSF kila mwenzi wakati alipofungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. Watatu kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na wapili kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe.
Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora - Bahame Tom Nyanduga
Nembo ya Tume ya Vyuo Vikuu

Ramani inayoonesha eneo la mradi

Jenista Mhagama