Thursday , 13th Oct , 2022

Mbunge wa Jimbo la Amani, Mussa Hassan, amefariki dunia hii leo Oktoba 13, 2022, visiwani Zanzibar.

Mbunge Mussa Hassan, aliyefariki dunia

Mazishi ya mbunge huyo yatafanyika hii leo saa 10:00 jioni kijijini kwao Bwejuu wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.