Thursday , 9th Feb , 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa lkuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO). 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Mhandisi Nyamsingwa ni Mkurugenzi wa idara ya barabara kuu na usafirishaji Kampuni ya NORPLAN Tanzania Limited.

Uteuzi wa Mhandisi Nyamsingwa umeanza Februari 7, 2023.