Chama kwa Kirefu: 
Alliance for African Farmers Party
Chama Kilizaliwa: 
2009
Makao Makuu: 
Temeke, Dar es Salaam
Mwenyekiti: 
Said Soud Said
Katibu Mkuu: 
Rashidi Ligania Rai
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2015): 
0
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2020): 
0

Alliance for African Farmers Party (AAFP), kilianzishwa Novemba 3 mwaka 2009. 

Falsafa ya chama cha AAFP imejikita kwenye maendeleo ya kilimo katika kukuza uchumi wa nchi.

Tangu mwaka 2009 hadi sasa chama cha AAFP hakijafanikiwa kupata mbunge hata mmoja katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye chaguzi zilizopita.