Chama: 
MAKINI
Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais): 
Tabu Mussa Juma
Matokeo ya Uchaguzi 2015: 
Hakushiriki uchaguzi
Idadi Ya kura: 
14 556

Alizaliwa Februari 22, mwaka 1973 jijini Dar es Salaam.

Mwaka 1980 alianza shule ya msingi na alihitimu darasa la saba mwaka 1986. Kisha alijiunga na Shule ya Sekondari ya Migurani iliyopo Temeke, ambayo ilikuwa ikifundisha masomo ya jioni ya Sekondari kuanzia mwaka 1987 hadi cha tatu alipohamishiwa Sekondari ya Mt. Anthony, Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1991.

Mwaka 1995 alijiunga na Chuo cha Ndanda, Mtwara na alihitimu mwaka 1997. Mwaka 1998, alisoma kozi ya Utetezi wa Uhai na Uimarishaji wa Familia (Bomu) na akatunukiwa Stashahada mwaka 1999.