Chama kwa Kirefu: 
African Democratic Alliance Party
Chama Kilizaliwa: 
1992
Makao Makuu: 
Nyumba Na.70 Mtaa wa Kondoa Magomeni , Dar es Salaam
Kauli mbiu: 
Usawa wa Jamii
Mwenyekiti: 
Juma Ali Katib
Katibu Mkuu: 
John Shibuda
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2015): 
0
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2020): 
0

African Democratic Alliance Party (ADA-TADEA). Imani za chama hiki zinajikita katika kuheshimu utu wa kila mtu pamoja na usawa na haki kwa kila mtu kuanzia katika ngazi ya familia.

ADA TADEA inamikakati ya kuhimiza maendeleo ya umma na maisha bora kwa wananchi yenye kuzingatia uhuru.