Chama kwa Kirefu: 
Chama cha Ukombozi wa Umma
Chama Kilizaliwa: 
2013
Makao Makuu: 
Kijitonyama, Dar es Salaam
Mwenyekiti: 
Hashim Spunda Rungwe
Katibu Mkuu: 
Ally Omary Juma
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2015): 
0
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2020): 
0

Chama cha kisiasa kijulikanacho kwa jina la Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) chenye falsafa ya umoja wa kitaifa kilipata usajili wake Juni 4 mwaka 2013 na ofisi zake zipo Makumbusho, Kijitonyama Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa chama cha CHAUMMA ni Hashim Rungwe Spunda na Katibu Mkuu wake ni Ali Omar Juma.