Chama kwa Kirefu: 
National League of Democracy
Chama Kilizaliwa: 
1993
Makao Makuu: 
Sinza, Dar es Salaam
Mwenyekiti: 
Oscar Makaidi
Katibu Mkuu: 
Tozy Ephraim Matwanga
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2020): 
0

National League of Democracy (NLD) kilianzishwa Januari 12 Mwaka 1993.

Chama cha NLD kinalengo la kujenga kujiamini watu, upendo na usawa. Kuhakikisha usawa wa kiuchumi kwa makundi yote kuweka mfumo wa elimu utakaowawezesha wazazi kusomesha watoto wao elimu hadi ya juu.

Makao Makuu yake yapo Sinza Jijini Dar es Salaam, chama hiki kina usajili wa kudumu.