Chama kwa Kirefu: 
Union for Multiparty Democracy
Chama Kilizaliwa: 
1993
Makao Makuu: 
Chang’ombe, Dar es Salaam
Mwenyekiti: 
Bwana Salum S. Alli
Katibu Mkuu: 
Ali Mshangama Abdallah
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2015): 
0
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2020): 
0

Union for Multiparty Democracy (UDM), ni chama cha siasa kinachoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu nchini Tanzania.

Chama hiki kilishiriki uchaguzi mwaka 1995 ambapo kilipata kura 41257 sawa na asilimia 0.64%, mwaka 2000 kilipata kura 7550 sawa na asilimia 0.11% ya kura zote na mwaka 2005 chama hiki hakikusimamisha mgombea uraisi na badala yake kilimuunga mkono mgombea wa NNCR-MAGEUZI.

Mwaka 2010 kilishiriki tena uchaguzi bila mafanikio katika nafasi ya uraisi Zanzibar na hawakuweza kupata nafasi ya uwakilishi bungeni.

Mwaka 2015 hakikusimamisha mgombea uraisi, ila mwaka huu 2020 kimemsimamisha  Khalfan Mohamed Mazrui katika nafasi ya urais