Chama kwa Kirefu: 
United Peoples’ Democratic Party
Chama Kilizaliwa: 
2020
Makao Makuu: 
Mtoni Kidatu, Unguja
Mwenyekiti: 
Fahmi Dovutwa
Katibu Mkuu: 
Hamad Ibrahim
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2015): 
0
Viti vya Ubunge (Uchaguzi 2020): 
0

Chama cha UPDP kinafuata mfumo wa kisiasa wa kiuchumi, kitamaduni na kijamii wa Demokrasia ya Kijamaa.

Hii ni baada ya UPDP kubaini mifumo mingine yote imeshindwa kumjengea mwanadamu amani, utulivu na furaha.

Hii ni mara ya kwanza chama hiki kushiriki uchaguzi mkuu na mgombea wake katika nafasi ya uraisi ni  Twalib Kadege