Together Tunawakilisha
Home

YOU ARE NOT LOGGED IN
  • Login
  • or
  • Sign Up
  • Dashboard
  • Logout
  • Home
  • Shows
  • News
    • Currrent Affairs
    • Entertainment
    • Sport
    • Business
    • Life & Style
  • Gallery
  • Schedule
  • Namthamini
  • Uchaguzi2025
  • Marathon ya kuhamasisha hedhi salama mashuleni
    Marathon ya kuhamasisha hedhi salama mashuleni
  • Mukwasa Sekondari yanufaika NAMTHAMINI
    Mukwasa Sekondari yanufaika NAMTHAMINI
  • EATV & EA na TASACI Wakabidhi Pedi S/M Mabwepande
    EATV & EA na TASACI Wakabidhi Pedi S/M Mabwepande
  • Namthaminina waungana na EATV Jogging Club
    Namthaminina waungana na EATV Jogging Club
  • NAMTHAMINI wafika Zanzibar
    NAMTHAMINI wafika Zanzibar

Wasichana

kutoka mikoa zaidi ya 22 Tanzania wamenufaika

Msaada wa Pesa

Changia kiasi chochote cha pesa
5,000/=
(Je wajua kwa TZS 5,000/= inamweka mtoto wa kike shule mwezi mzima?)
Changia (Donate)
Toa mchango wako wa Fedha kwa njia zifuatazo
1
Bank
Akaunti Namba: 015043198200
Jina la Account: Namthamini
Jina la Benki: CRDB
2
MPESA
Unaweza kuchangia kwa namba ya malipo 5999900
jina East Africa Television
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 633 313

Changia Pedi

Changia pedi kumsaidia binti mmoja kwa mwaka.
Changia (Donate)
Wasilisha mchango wako wa PEDI
Ofisi za East Africa Television na East Africa Radio, Mikocheni, Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 633 313
Habari
Mukwasa Sekondari yanufaika NAMTHAMINI

Hai, Kilimanjaro – Balozi wa kampeni ya #NamthaminiNasimamaNaye, Ms. Najma Paul, ameongoza...

Soma zaidi

Mukwasa Sekondari yanufaika NAMTHAMINI

Balozi wa kampeni ya #NamthaminiNasimamaNaye, Ms. Najma Paul, amekutana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mukwasa wilayani Hai, Kilimanjaro, ambapo walikabidhiwa taulo za kike 4,556 zitakazowasaidia kuhudhuria masomo bila kikwazo kwa mwaka mzima.

Kampeni hiyo, inayoendeshwa na East Africa Television na East Africa Radio, inalenga kumwezesha mtoto wa kike kupata elimu bila vizingiti vinavyotokana na hedhi. Ms. Najma alisisitiza kuwa taulo hizo ni tiketi ya matumaini na usawa kwa mtoto wa kike.

Wanafunzi na walimu walitoa shukrani kwa msaada huo, wakieleza kuwa utapunguza utoro na kuongeza ari ya masomo. Kampeni inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kote nchini kuhakikisha mazingira bora ya elimu kwa mtoto wa kike.

TASACI,TZMHHC NA EATV WASHIRIKIANA KWENYE HSM

Asasi ya TASACI kwa Ushirikiano na Mwamvuli wa Hedhi Salama Tanzania(TZMHHC) Waungana na EATV...

Soma zaidi

TASACI,TZMHHC NA EATV WASHIRIKIANA KWENYE HSM

Asasi ya TASACI kwa Ushirikiano na Mwamvuli wa Hedhi Salama Tanzania(TZMHHC) Waungana na EATV katika tukio la HSM na kueleke kilele cha Hedhi Salama Duniani - Kitaifa.

Ushirikiano huu unaonesha nguvu ya pamoja katika kuhamasisha elimu, usawa na upatikanaji wa vifaa salama vya hedhi kwa wasichana na wanawake nchini.

Namthamini wapokelewa Chalinze

Wananchi mbalimbali wamejitokeza kushiriki matembezi ya hisani ya kampeni ya Namthamini...

Soma zaidi

Namthamini wapokelewa Chalinze

Timu ya EATV na EA Radio, kwa kushirikiana na aripads_tz, Hedhi Salama Marathon pamoja na TASACI, ilifanya ziara maalum katika Wilaya ya Chalinze kwa lengo la kuendeleza juhudi za kuhakikisha watoto wa kike wanapata hedhi salama.

Katika ziara hiyo, timu ilipokelewa kwa mapokezi makubwa, ya heshima na ya moyo wa dhati, hali iliyoonesha ushirikiano mzuri kati ya wadau wa maendeleo na uongozi wa Wilaya ya Chalinze. Mapokezi hayo yaliakisi dhamira ya pamoja ya kuunga mkono ustawi wa watoto wetu, hususan wanafunzi wa shule za msingi.

Shukrani za pekee na za dhati zinaelekezwa kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, kwa ushirikiano wake mkubwa na mchango wake katika kuhakikisha zoezi la ugawaji wa taulo za kike linafanikiwa. Ushirikiano huo umeiwezesha EATV na EA Radio kutimiza jukumu walilokabidhiwa na Watanzania la kuwasaidia watoto wa kike kupata mahitaji muhimu ya hedhi salama.

Ziara hii ni sehemu ya mwendelezo wa jitihada za pamoja za kuelimisha jamii, kuvunja ukimya kuhusu hedhi salama na kuhakikisha hakuna mtoto wa kike anayekosa fursa ya elimu kwa sababu ya changamoto za hedhi.

  • Tazama zaidi

Namthamini

  • English
Kampeni
Namthamini

Namthamini imeendelea kuwa jukwaa muhimu la kutetea heshima, usawa na fursa kwa wasichana nchini Tanzania toka ilivyoanzishwa mwaka 2017 na EATV LTD kama kampeni ya uhamasishaji.

Kampeni hii ya Namthamini sasa imekuwa nembo muhimu  inayotambulika kitaifa, ikilenga kukabiliana na changamoto ya hedhi kwa kuzingatia ustawi na ushiriki wa jamii katika kulinda heshima ya mtoto wa kike.

Kwa kuzingatia uzoefu uliopatikana kutokana na utekelezaji wa shughuli zake, maoni na mahitaji halisi ya wasichana walengwa, mwaka 2025 Namthamini ilifanya mabadiliko kutoka kampeni ya msimu wa utoaji taulo za kike na kuwa programu endelevu ya afya na usafi wa hedhi, inayotekelezwa mwaka mzima kwa kuzingatia miongozo ya Kitaifa ya Afya na Usafi wa Hedhi (MHH).

Mabadiliko haya yanaonesha kuwa heshima ya hedhi haiwezi kushughulikiwa kwa mifumo ya muda mfupi kwani wasichana hupitia mzunguko wa hedhi kila mwezi hivyo haki yao ya kupata elimu, kujiamini na kuishi kwa usalama, inapaswa kulindwa na kuimarishwa kwa misingi endelevu.

Namthamini inatoa shukrani za dhati kwa washirika wake wote ambao ni  wafadhili, watu waliojitolea, wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kwa mchango na ushirikiano unaoendelea. Umoja huu umeiwezesha Namthamini kukua kutoka wazo la awali na kuwa programu yenye mchango chanya na wa kudumu katika jamii.

'Unapomuinua mtoto mmoja wa kike, umeinua jamii nzima' 
#Namthamini 
#NasimamaNaye

Shule Nufaika
Arusha
Shule ya Sekondari Arusha
Arusha
Shule ya Sekondari Arusha
Arusha
Shule ya Sekondari Kinana
Arusha
Shule ya Sekondari Muriet
Arusha
Shule ya Sekondari Musa
Arusha
Shule ya Sekondari Ngarenaro
Bukoba
Shule ya Sekondari Izimbya
Bukoba
Shule ya Sekondari Ruhunga
Dar es salaam
Shule ya Msingi Rahaleo
Dar es salaam
Shule ya Msingi Tuliani
Dar es salaam
Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Abdu Jumbe
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Buza
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Jangwani
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Kibugumo
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Kidete
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Kisota
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Kisutu
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Maendeleo
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Minazini
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Tungi
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Turiani
Dar es salaam
Shule ya Sekondari Twiga
Dodoma
Shule ya Sekondari Hombolo
Dodoma
Shule ya Sekondari Kikombo
Dodoma
Shule ya Sekondari Msalato
Iringa
Shule ya Sekondari Lukosi
Iringa
Shule ya Sekondari Mazombe
Iringa
Shule ya Sekondari Nyalumbu
Kigoma
Shule ya Sekondari Bogwe
Kigoma
Shule ya Sekondari Katubuka
Kigoma
Shule ya Sekondari Kigoma Grand
Kigoma
Shule ya Sekondari Mlole
Kigoma
Shule ya Sekondari Murubona
Kigoma
Shule ya Sekondari Mwananchi
Lindi
Shule ya Sekondari Mchinga
Lindi
Shule ya Sekondari Ngongo
Manyara
Shule ya Sekondari Simbay
Manyara
Shule ya Sekondari Sumaye
Mara
Shule ya Msingi Mwisenge
Mara
Shule ya Sekondari Kyanyari
Mbeya
Shule ya Sekondari Busokelo
Mbeya
Shule ya Sekondari Garijembe
Mbeya
Shule ya Sekondari Kalonge
Mbeya
Shule ya Sekondari Maziwa
Mbeya
Shule ya Sekondari Nsenga
Mbeya
Shule ya Sekondari Stellafam
Mbeya
Shule ya Sekondari Usongwe
Mtwara
Shule ya Sekondari Chiungutwa
Mtwara
Shule ya Sekondari Lukuledi
Mtwara
Shule ya Sekondari Mangamba
Mtwara
Shule ya Sekondari Masasi
Mtwara
Shule ya Sekondari Mikindani
Mtwara
Shule ya Sekondari Mitengo
Mtwara
Shule ya Sekondari Naliendele
Mtwara
Shule ya Sekondari Nanyumbu
Mtwara
Shule ya Sekondari Napacho
Njombe
Shule ya Sekondari Iwawa
Njombe
Shule ya Sekondari Kitulo
Njombe
Shule ya Sekondari Mabatini
Njombe
Shule ya Sekondari Mavala
Njombe
Shule ya Sekondari Mchuchuma
Pwani
Shule ya Sekondari Dunda
Pwani
Shule ya Sekondari Kibuta
Pwani
Shule ya Sekondari Maneromango
Pwani
Shule ya Sekondari Matimbwa
Ruvuma
Shule ya Sekondari Luwawasa
Ruvuma
Shule ya Sekondari Manyanya
Ruvuma
Shule ya Sekondari Mashujaa
Ruvuma
Shule ya Sekondari Mbambi
Ruvuma
Shule ya Sekondari Mbinga
Shinyanga
Shule ya Sekondari Kishapu
Shinyanga
Shule ya Sekondari Mwataga
Shinyanga
Shule ya Sekondari Samuye
Shinyanga
Shule ya Sekondari Tinde
Simiyu
Shule ya Sekondari Badi
Simiyu
Shule ya Sekondari Binza
Simiyu
Shule ya Sekondari Kidinda
Simiyu
Shule ya Sekondari Somanda
Singida
Shule ya Sekondari Gunda
Singida
Shule ya Sekondari Ntuntu
Tabora
Shule ya Sekondari Idete
Tabora
Shule ya Sekondari Ikomwa
Tabora
Shule ya sekondari Ndono
Tabora
Shule ya Sekondari Tura
Tanga
Shule ya Sekondari Korogwe
Tanga
Shule ya Sekondari Kwamatuku
Tanga
Shule ya Sekondari Kwedzinga
Tanga
Shule ya Sekondari Segera
Zanzibar
Shule ya Sekondari Machui
Zanzibar
Shule ya Sekondari Mwera
Zanzibar
Shule ya Sekondari Mwera Pongwe
Yaliyosemwa
  • “Tunaishukuru East Africa TV kupitia kampeni ya #ninamthamini kwa kushirikiana nasi Mandera Girls Secondary School kuadhimisha Siku ya Hedhi Salama Duniani, hatua iliyoleta faraja na matumaini kwa mabinti wetu.”
    James Sungura
    Mandera Girls Secondary School
    Makamu wa shule utawala
  • ''Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze inaishukuru na kuipongeza Namthamini kwa mchango wake katika kuhakikisha watoto wa kike wanapata hedhi salama mashuleni.”
    Ramadhani Possi
    Halmashauri ya Chalinze
    Mkurugenzi Mtendaji
  • Hakuna jamii inayoweza kusonga mbele bila kumwezesha mtoto wa kike. Kumpatia elimu na huduma salama za hedhi ni kumpa heshima, afya na kujiamini ili aweze kusoma na kutimiza ndoto zake bila vikwazo.”
    JAPHET JACKSON MSWAKI
    TASACI
    Mkurugenzi
  • "Rotary tulianzisha mradi wa kuwawesha mabinti katika masuala ya hedhi, club zote nchini zinaelimisha wavulana kwa wasichana kuhusu hedhi salama kwa kushirikiana na wadau wetu kama kampeni ya Namthamini"
    Aisha Sykes
    Rotary Oysterbay
    Rais wa Rotary Oysterbay
  • “Nawashukuru sana kwa namna ambavyo mnahudumia jamii ya watoto wa Tanzania, asanteni kwa huduma mnayoifanya kwa watoto wetu”
    Rosalia Mwita
    Twiga Sekondari
    Mkuu wa Shule
  • ''Nawapongeza East Africa TV na Radio kwa jitihada zao katika Kampeni hii na mimi na naungana nao, tuendelee kuwa pamoja katika hili ili tuweze kuwasaidia mabinti zetu na tuzalishe viongozi wa kike wengine wazuri katika siku za baadae'' - Mh. Fatma Nyangasa
    Fatma Nyangasa
    Wilaya ya Kigamboni
    Mkuu wa Wilaya

ABOUT US

  • About us
  • Advertise
  • Jobs
  • Terms & Conditions
  • Contact Us
  • Frequently Asked Questions

Network

  • IPP MEDIA
  • EAST AFRICA RADIO
  • ITV
  • RADIO ONE
  • CAPITAL RADIO
  • LOKOPROMO

©  East Africa Television Limited. All Rights Reserved

  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
    • Uchaguzi2025
  • Search
  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
    • Uchaguzi2025
  • Search